MGCC Front View
KARIBU SANA KATIGA BLOG HII- YOU ARE ALL WELCOME
CFDs National Leadership
MGCC Side to Front View
MGCC Side view

Friday, October 28, 2016

MGCC PRELIMINARY DRAWINGS - MICHORO YA MGCC PROJECT

 MEZZANINE FLOOR PLAN


GROUND FLOOR PLAN


MATUKIO YA CFDs KITAIFA KWA MWAKA 2017



MATUKIO YA CFDs KITAIFA KWA MWAKA 2017

1.   16-20 Januari 2017        Maombi Ya Kitaifa

2.    28 January 2017           Kikao Cha Halimashauri Cha Idara-Iringa

3.   1-31 March 2017            Maombi Ya Mwezi Mzima Ya Mnyororo 
                                            Kimajimbo

4.    1 Aprili 2017                  Kikao Cha Halmashauri Kuu Ya Idara

5.   30 Septemba 2017         Kikao Cha Halmashauri Kuu Ya Idara

6.   26-30 Juni 2017              Semina Cfds Kitaifa-Iringa

7.    12 Novemba 2017         Sikukuu Ya Cfds Kitaifa N.K.

Monday, October 24, 2016

Pentecostal Holiness Mission (PHM) - Tanzania



Pentecostal Holiness Mission (P.H.M), is a non-Profit Christian denomination, an organization which is based on preaching the True Gospel of the Lord Jesus Christ by fulfilling the Purpose of Church which is Evangelism, Fellowship, Worship, Spiritual Maturity and Ministry in general.

We are glad that you clicked on our webpage. This website will provide you with valid information about the beginning of Pentecostalism in Tanzania, East Africa. Pentecostal Holiness Mission (P.H.M) which was formally a P.H.A Church is the first Pentecostal Church to begin in Tanzania. However, it has gone through paradigm shifts and adjustments which have not been shared anywhere except other people who have told about it according to their perspective. This website, will give you access to know about P.H.M . Many Pentecostal groups exist today and have been in operation for many years, some groups emerged later, very few people know the difference or how the beginning of Pentecostalism in Tanzania was.

As you go through this website, you will get a glimpse of where P.H.M has come from, where we are right now, and where we are heading to. We are proud that the Church has grown steadily without watering down their faith in spite of many challenges that we have encountered.

May our Lord God almighty bless you for your time and prayers.

 P.H.M Goals

As a Church, we strive for the growth of the Church both physically and spiritually. By reading this page, we are asking you to pray for these goals to pass.

Our Church Goals Includes:

To prepare trained Church leaders and ministers
Planting new Churches in unreached areas.
Establishment of Church leadership

Improving Church economy

Website : http://phmtz.org

Mount of God Conference Center (MGCC) - UKUMBI


(MGCC) 

Mount of God Conference Center ni mradi wa ukumbi mkubwa wa PHM - Pentecost Holiness Mission, unaojengwa Mkoa wa Iringa chini ya usimamizi wa Idara ya Community of Faith Defenders (CFDs), ambapo utekelezaji wake wa ujenzi umekwisha anza na Unaendelea


















Jumuiya ya Watetezi wa Imani - Community of Faith Defenders (CFDs)


CFDs 
Jumuiya ya Watetezi wa Imani - Community of Faith Defenders (CFDs) ni moja ya Idara ndani ya kanisa la Pentecostal Holiness Mission (PHM) yenye malengo chanya kwa kanisa kama Idara zingine. Hii ni idara ambayo inayohusisha vijana kuanzia umri wa miaka 15 hadi 50. Idara ya CFDs katika utendaji wa kazi imegawanyika katika ngazi nne, kuanzia ngazi ya chini yaani kanisa la mahali hadi ngazi ya juu ya kitaifa kama ifuatavyo:- CFDs katika kanisa la mahali, Sehemu (Section), Jimbo na Taifa.
Idara ya CFDs kwa kipindi cha miaka kumi (10) kuanzia mwaka 2017 hadi 2027 imekuwa na malengo makuu kadha ya kimkakati. Katika utekelezaji wake wa majukumu hayo ya kimkakati, CFDs unahusisha uongozi wa Taifa, Majimbo, Sehemu, Makanisa ya mahali na wana CFDs wote kwa ujumula nchini. Ili kulifanikisha zoezi zima hili tumesimamia kauli mbiu yetu inayosema “Mabadiliko ya kiroho na kiuchumi katika PHM na CFDs inawezekana!! Wajibika!!” Lengo likiwa ni kuwajibika ipasavyo kwa kila mwana Idara kupitia uongozi uliopo ili kuleta maendeleo yenye tija ndani ya Idara. Hii ni kulingana na vipaumbele maalumu vya utekelezaji vya kimkakati vilivyowekwa kwa miaka hiyo. Hali hii inalenga ukuaji wa kanisa kiroho na kiuchumi kwa kutumia rasilimali zilizopo kwa ufanisi zaidi.

Popular Posts