MGCC Front View
KARIBU SANA KATIGA BLOG HII- YOU ARE ALL WELCOME
CFDs National Leadership
MGCC Side to Front View
MGCC Side view

Monday, October 24, 2016

Mount of God Conference Center (MGCC) - UKUMBI


(MGCC) 

Mount of God Conference Center ni mradi wa ukumbi mkubwa wa PHM - Pentecost Holiness Mission, unaojengwa Mkoa wa Iringa chini ya usimamizi wa Idara ya Community of Faith Defenders (CFDs), ambapo utekelezaji wake wa ujenzi umekwisha anza na Unaendelea


















    Choose :
  • OR
  • To comment
3 comments:
Write comments
  1. Nawapongeza San sana wanacfds taifa kwa maono hata.Mungu awabariki sana sana.Nawatakia mafanikio ktk maono haya.Neema ya Mungu iwafunike viongozi wote.

    ReplyDelete
  2. Nawapongeza San sana wanacfds taifa kwa maono hata.Mungu awabariki sana sana.Nawatakia mafanikio ktk maono haya.Neema ya Mungu iwafunike viongozi wote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ubarikiwe sana Mwanjowe,tunamwamini Mungu wetu atatuwezesha kuyafikia haya maono.

      Delete

Popular Posts